Hizb ut Tahrir/ Malaysia: Maandamano na Uwasilishaji Waraka wa Ukumbusho kwa Jeshi la Malaysia Kuinusuru Ardhi Iliyobarikiwa!!
- Imepeperushwa katika Malaysia
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Hizb ut Tahrir / Malaysia aliandaa maandamano na kuwasilisha waraka wa ukumbusho kutoka kwa Hizb ut Tahrir kwenda kwa jeshi la Malaysia ukiyataka majeshi ya Waislamu kutaharaki mara moja kuwanusuru Waislamu katika Ardhi Iliyobarikiwa - Palestina na kuukomboa Msikiti uliobarikiwa wa Al-Aqsa, na Palestina yote inayokaliwa kwa mabavu, kuanzia mto wake hadi bahari yake, kutokana na makucha ya Mayahudi wanyakuzi wauaji.