Jumatatu, 09 Jumada al-awwal 1446 | 2024/11/11
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Jibu la Swali: Mabalozi katika Uislamu

Nina swali kuhusiana na rasimu ya katiba ya Hizb. Katika ibara ya 7 kifungu cha F inasema: "Dola itatabikisha hukmu zote za Sharia na mambo yote ya Shari'ah ya Kiislamu, kama vile miamala, kanuni za adhabu, ushahidi, mifumo ya utawala na uchumi miongoni mwa mengine kwa usawa juu ya Waislamu na Wasiokuwa Waislamu, Dola pia itatabikisha hayo hayo juu ya wale walio na mkataba, wanaomba hifadhi na wale wote walio chini ya mamlaka ya Uislamu kwa njia hiyo hiyo.

Soma zaidi...

Zaka juu ya Bidhaa za Biashara

Namaanisha, zaka ya bidhaa za biashara ni thamani ya bidhaa inayotolewa kwa ajili ya kuuzwa, thamani ya kuiuza kutoka kwa mlipaji zaka kwa wateja wake, sio thamani ambayo mlipaji zaka anainunulia kwayo!

Ikiwa nilinunua simu za rununu 10,000 na kuziuza kwa 15,000. Zaka itakuwa kutokana na 15,000.

Je, hii ni sahihi?!

Soma zaidi...

Jibu la Swali: Kampuni katika Uislamu sio Mtu Bandia

a) Je, kuna kitu katika Uislamu kama "thamani ya soko la kampuni" mbali na suala la hisa katika urasilimali?

b) Je, alama ya biashara ina thamani ya kutathminiwa wakati kiwanda kinauzwa?

c) Je, alama ya biashara ni ya kiwanda au kampuni, yaani, ikiwa kampuni itabaki na kuuza kiwanda chake kimoja au laini ya uzalishaji kwa moja ya vifaa vyake, ni nini kinachozingatiwa katika kukadiria bei?

d) Katika tukio la kampuni kuvunja, nini kitatokea kwa alama ya biashara?

Soma zaidi...

Uthabiti wa Hadithi, “Mimi Niko Mbali na Wale Walioishi Siku Arubaini baina ya Makafiri”

Ni upi uthabiti wa hadithi ifuatayo: mimi niko mbali na wale wameishi siku arubaini baina ya makafiri? Na nini hukmu ya Kiislamu kwa mtu anayeishi katika nchi ya kikafiri kwa ajili ya kazi, na ipi hukumu ya kisheria kwa mtu anayeishi katika nchi ya kikafiri kwa ajili ya kusoma?

Soma zaidi...

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu