Jumamosi, 25 Rajab 1446 | 2025/01/25
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Salamu kutoka kwa Amiri wa Hizb ut Tahrir, Mwanachuoni Mkubwa Ata Bin Khalil Abu Al-Rashtah Kwa Wanaozuru Kurasa zake Mtandaoni kwa Mnasaba wa Idd ul-Adha Al-Mubaraka ya Mwaka 1444 H sawia na 2023 M

Salamu kutoka kwa Amiri wa Hizb ut Tahrir, mwanachuoni mkubwa Ata Bin Khalil Abu Al-Rashtah kwa wanaozuru kurasa zake mtandaoni kwa mnasaba wa Idd ul-Adha Al-Mubaraka ya mwaka 1444 H sawia na 2023 M

Soma zaidi...

Ujumbe kutoka kwa Amiri wa Hizb ut Tahrir, Mwanachuoni Mkubwa, Ata Bin Khalil Abu Al-Rashtah, kwa Wabebaji Dawah Wanaotangaza Haki katika Ardhi Iliyobarikiwa ya Ash-Sham

Ndugu na Dada Waheshimiwa,

Nimefurahishwa na misimamo yenu ya ajabu na uimara wenu juu ya haki (Haqq) bila ya kuogopa lawama za wenye kulaumu, licha ya kuwa mumezungukwa na matatizo, nafsi dhaifu, na wale ambao nyoyo zao zimejaa maradhi, na mlikuwa kama Mwenyezi Mungu (swt) alivyosema

Soma zaidi...

Pongezi kutoka kwa Amiri wa Hizb ut Tahrir, Mwanachuoni Mkubwa, Ata bin Khalil Abu Al-Rashtah, kwa Wanaozuru Kurasa zake kwa Mnasaba wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan wa Mwaka 1444 H Sawia na 2023 M

Kwa Umma bora ulioletwa kwa ajili ya wanadamu... Umma wa Kiislamu ambao Mwenyezi Mungu ameutukuza kwa utiifu Wake...

Kwa wabebaji Da’wah ambao biashara wala uuzaji haviwashughulishi na kumkumbuka Mwenyezi Mungu...

Soma zaidi...

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu