Kubadilisha Serikali kwa Takwimu Mpya za Uongozi si Lolote zaidi ya Kutia Viraka Mfumo!
- Imepeperushwa katika Uzbekistan
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Baada ya muda mfupi kufuatia kuchaguliwa kwa Shavkat Mirziyoyev kama rais kwa mara ya tatu, alianza mfululizo wa mageuzi, lengo kuu likiwa ni suala la wafanyikazi. Inafaa kukumbuka kuwa zaidi ya maafisa 80 kutoka ngazi mbalimbali za mahakama, masuala ya ndani na mfumo wa kodi walifutwa kazi.