Hizb ut Tahrir / Indonesia: Amali za Mapokezi ya Mwezi Mtukufu 1443 H
- Imepeperushwa katika Indonesia
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Kwa mwaliko wa Hizb ut Tahrir/Indonesia Waislamu walishiriki katika miji mingi kote Indonesia kama vile; Jakarta, Surabaya, Medan, Bandung, Kendari, Makassar, na mengineo wakiwa katika amali za kuukaribisha mwezi mtukufu wa Ramadhan kwa mwaka huu wa 1443 H kwa jina (Kukaribisha Ramadhan 1443 H).