Jibu la Swali: Hadith «إِنَّ الإِسْلامَ يَجُبُّ مَا كَانَ قَـبْلَهُ» “Hakika Uislamu Hufuta Yale Yalikuwa Kabla Yake”
- Imepeperushwa katika Maswali ya Kimfumo
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
(Ama kushughulika na kesi zinazodhuru Uislamu na Waislamu, hii ni kwa sababu Mtume aliamuru kuuawa kwa watu wachache waliosababisha madhara kwa Uislamu na Waislamu katika zama za Jahiliyyah baada ya ufunguzi wa Makka, na hivyo waliuawa hata kama walijifunga kwenye mapazia ya Al-Kaaba, kwa kujua kwamba Mtume wa Mwenyezi Mungu amesema, "إن الإسلام يجب ما قبله" “Hakika Uislamu Hufuta Yale Yalikuwa Kabla Yake”