Tanzia ya Mbebaji Ulinganizi: Profesa Dkt. Taha Khalil Aldoss (Abu Osama)
- Imepeperushwa katika Amerika
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Hizb ut Tahrir / Amerika yaomboleza mmoja wa wanaume wa Hizb ut Tahrir; Profesa Dkt. Taha Khalil Aldoss (Abu Osama) aliyefariki mnamo Jumapili, Agosti 20, 2023, akiwa na umri wa miaka 72.