Alhamisi, 09 Rabi' al-awwal 1446 | 2024/09/12
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Jibu la Swali: Mazungumzo ya Geneva na Jaribio la Kumaliza Vita nchini Sudan

Kikao cha ufunguzi wa mazungumzo ya Geneva ya kumaliza vita nchini Sudan ambayo yamekuwa yakiendelea kwa takriban miezi 16 kilifanyika mnamo Jumatano (14/8/2024) mbele ya washirika wa upatanishi wa kimataifa, Marekani, Uswizi, Saudi Arabia. Misri, Imarati, Muungano wa Afrika na Umoja wa Mataifa, huku jeshi la Sudan halikuwepo kwenye mazungumzo hayo. Ni nini sababu ya wito wa Marekani kufanya kongamano jijini Geneva badala ya Jeddah na kupanua ushiriki?

Soma zaidi...

Masuluhisho Yaliyopendekezwa kwa Gaza ya baada ya Vita

Huku vita vya mauaji ya halaiki vya umbile la Kiyahudi, kwa uungaji mkono muovu wa Marekani ya Magharibi, vikiendelea dhidi ya watu wa Gaza kwa zaidi ya miezi mitano, na wahanga wake kufikia zaidi ya mashahidi na majeruhi 100,000, pamoja na kuangamizwa kwa sehemu kubwa ya majengo yake, kuna mazungumzo mengi kuhusu miradi ya massuluhisho ya kile kitakachokuja baada ya vita vya Gaza na jinsi mambo yatakavyokuwa kisiasa kulingana na mipango ya dola za kikoloni zikiongozwa na Marekani.

Soma zaidi...

Uchaguzi wa Pakistan

Shirika la habari la Reuters liliripoti mnamo tarehe 19 Februari 2024, "Vyama viwili vikuu vya Pakistan vinatazamiwa kukutana mnamo Jumatatu ili kujaribu kutatua tofauti za kuunda serikali ya mseto ya wachache baada ya uchaguzi ambao haukukamilika, afisa mmoja wa ngazi ya juu wa chama alisema, akisisitiza kukosekana kwa utulivu wa kisiasa na kiuchumi ...

Soma zaidi...

Jibu la Swali: Ziara ya Blinken Nchini China

CGTN (Chinese Global Television Network) ilichapishwa tarehe 30/6/2023: (Wizara ya Mambo ya Nje ya China iliikosoa Marekani kwa kutoa matamshi ya kutowajibika kuhusu uhusiano wa nchi hizo mbili. Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Anthony Blinken alisema katika mahojiano mapema kwamba Washington itaendelea kutetea maslahi yake binafsi

Soma zaidi...

Jibu la Swali: Uchaguzi wa Bunge la Congress la Marekani

Chama cha Republican kilipata udhibiti, kwa wingi mdogo, juu ya Baraza la Wawakilishi la Marekani ambalo lina viti 435. [“Kilishinda angalau viti 218, kulingana na makadirio ya CBS News, mshirika wa BBC nchini Marekani.” (BBC, Novemba 17, 2022)]. Kuhusu Wanademokrasia, walisherehekea [“Jumapili kwamba chama kilibakisha wingi wa watu wengi katika Seneti ya Marekani,”

Soma zaidi...

Ni Nini Kilicho nyuma ya Saudi Arabia Kupunguza Uzalishaji wa Mafuta?

Kwa nini Saudi Arabia, ambayo ni kibaraka wa Amerika, ilishirikiana na Urusi katika shirika la OPEC Plus kupunguza uzalishaji wa mafuta kwa kiasi kikubwa, ambayo itasababisha kupanda kwa bei yake, na hii ni kinyume na matamanio ya Amerika? Amerika ilikasirishwa kutokana na uamuzi huu na kutangaza kutathmini upya mahusiano yake na Saudi Arabia:

Soma zaidi...

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu