Jumatano, 02 Jumada al-thani 1446 | 2024/12/04
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Katika Nchi Ambayo Inadai Kulinda Haki za Wanawake, Wabebaji Dawah Wanawake wa Hizb ut Tahrir Wanakamatwa kwa sababu Wanafanya Kazi Nje ya Mfumo wa Kisekula!

Mnamo jioni ya Ijumaa, 02/02/2024, mbele ya Msikiti wa Al-Lakhmi katika mji wa Sfax, wanawake wawili kutoka Hizb ut Tahrir walikamatwa katika mazingira ya kusambaza taarifa ya kuinusuru Gaza. Kabla ya hili, kulikuwa na uvamizi katika nyumba ya mmoja wa wanawake mashabaat wa Hizb katika mji wa Hammamet siku ya Ijumaa iliyopita, tarehe 26/01/2024, ambapo jeshi kubwa la polisi liliingia kwa nguvu ndani ya nyumba hiyo bila kibali.

Soma zaidi...

Hii ni Taarifa kwa Watu, Wito kwa Watu wa Tunisia, Ardhi ya Al-Zaitouna ya Vyuo Vikuu Vikongwe Ulimwenguni

Tangu ukoloni ulipoingia Tunisia, ulilenga elimu na athari yake katika kuunda shakhsiya. Kwa hivyo mwanaorientalisti wa Ufaransa Louis Maigret alichukua jukumu la elimu ya umma nchini Tunisia, akipendekeza mradi wa kielimu unaolenga kuidhibiti zaidi nchi na watu wake kielimu na kisiasa.

Soma zaidi...

Barua ya Wazi kutoka kwa Hizb ut Tahrir kwenda kwa Waziri wa Sheria na Haki za Binadamu Mada: Kuongezeka kwa Ukamatwaji Mara Kwa Mara wa Wanachama wa Hizb ut Tahrir / Wilayah Tunisia

Tunawasilisha ombi hili la malalamiko kwako kuhusu kukamatwa mara kwa mara ambako wawakilishi wa Afisi ya Mashtaka ya Umma wamekufanya ndani ya mahakama mbalimbali katika kukabiliana na wanachama wa Hizb ut Tahrir, kwa ajili hiyo, tunaweza tu kukumbusha mambo yafuatayo

Soma zaidi...

Mustakabali wa Vizazi vya Vijana nchini Tunisia... Pazia la Sheria Fisadi na Mfumo wa Elimu Uliofeli Yaonyesha Mgogoro wa Kimfumo

 Wizara ya Wanawake na  Watoto ilitangaza matokeo ya ripoti ya takwimu juu ya arifa za hali zilizo hatarini za watoto na kuwatishia watoto kwa sheria ya miaka 2020 na 2021, iliyowakilishwa na uzinduzi wa jukwaa la ulinzi wa watoto ambalo hutoa uwezekano wa arifa ndogo

Soma zaidi...

Barua ya Wazi kutoka kwa Hizb ut Tahrir / Wilayah Tunisia kwa Wajumbe wa Serikali ya Tunisia Kutia saini Mkataba na Mfuko wa Fedha wa Kimataifa ni Ala Nyingine ya Ukoloni kwa Tunisia

Baada ya makubaliano ya mnamo tarehe 15 Oktoba 2022 kati ya Mfuko wa Fedha wa Kimataifa na Tunisia katika ngazi ya wataalamu wa ufadhili wa dolari bilioni 1.9 kwa kipindi cha miaka 4, sisi, Hizb ut Tahrir/Wilayah Tunisia, tunawahutubia, tukiwashauri na kuwaonya juu ya matokeo ya mkataba huu na madhara yake kwa nchi na wananchi, hasa kwa vile mumedai, kwa zaidi ya mara moja, kwamba mumekuja kurekebisha yale yaliyofisidiwa na serikali zilizopita!

Soma zaidi...

Waislamu nchini Tunisia: Hakuna Wokovu bila ya Uislamu

Inatusikitisha kuona masaibu mnayoyapata na ugumu wa kuishi chini ya mfumo wa kishenzi wa kirasilimali ambao umekufanyeni muteseke kati ya kutimiza kwa uchache mahitaji yenu ya kila siku, baada ya bei kupanda sana, na kuhama na kupasua mawimbi ya bahari na ghaibu ya maisha katika kutafuta makombo ya Magharibi inayopora utajiri wenu.

Soma zaidi...

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu