Jumanne, 17 Muharram 1446 | 2024/07/23
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Kufungwa kwa Shule Huru za Waislamu Kunalenga Kitambulisho cha Waislamu

Mnamo Alhamisi, Dagens Nyheter, Göteborgsposten na Aftonbladet waliripoti kwamba Mamlaka ya Ukaguzi wa Shule ya Uswidi inabatilisha vibali vya shule mbili za kibinafsi za Waislamu kufuatia tahadhari kutoka kwa Huduma ya Usalama ya Uswidi kwamba wanafunzi wako katika hatari ya kupewa itikadi ya mfumo wa Kiislamu.

Soma zaidi...

Kampeni ya Hizb ut Tahrir Nchini Sweden: Tumia sauti yako, lakini sio katika uchaguzi!

Risala msingi ya kampeni hii imekuwa ni namna gani Waislamu wanavyo weza kuchangamka katika jamii pasi na kulegeza msimamo wa kitambulisho chao cha Kiislamu.  Kampeni hii na yaliyomo ndani yake imezungumziwa kwa hamu miongoni mwa Waislamu pamoja na mitandao ya kijamii. Imefaulu kuwasilisha barabara mtazamo wa Kiislamu na kuathiri mdahalo kuhusu uchaguzi nchini Sweden na harakati ya kisiasa ya Kiislamu. Kampeni hii pia iliifikia tanabahi kubwa ya vyombo vya habari na imekashifiwa kwa kufanya kazi dhidi ya demokrasia.

Soma zaidi...

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu