Jumanne, 01 Jumada al-thani 1446 | 2024/12/03
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Maneno Hayatoshi Kuuadhibu Utawala wa Modi wenye Chuki na Uislamu

Hivi majuzi, serikali ya Narendra Modi ilijikuta matatani baada ya baadhi ya wanachama wake kutoa matamshi ya dharau dhidi ya Mtume wa Mwenyezi Mungu (saw). Katika nia ya kujinasua kutoka kwa ghadhabu inayozidi kuongezeka katika ulimwengu wa Kiislamu, Modi alichukua hatua haraka kuwasimamisha kazi maafisa wa BJP wenye hatia lakini hii haikusaidia kuzuia kashfa dhidi ya serikali yake.

Soma zaidi...

Enyi Waislamu wa India! Mtume wa Mwenyezi Mungu (saw) amesema, “Yeyote anayeuwawa kwa kutetea mali yake ni shahidi, na yeyote anayeuwawa kwa kutetea Dini ni shahidi, na yeyote anayeuwawa kwa kutetea damu yake ni shahidi na yeyote anayeuwawa kwa kutet

Ulimwengu ulishuhudia, kwenye mitandao ya kijamii, kipande cha video cha kutisha kinachoonyesha polisi wa India wakiwafyatulia risasi wakaazi wa kitongoji cha Waislamu, katika jimbo la Assam kaskazini mashariki mwa India,

Soma zaidi...

Khilafah Ikavunjwa … kwa hiyo Wanaoabudu Ng’ombe nchini India Wakawashinda nguvu “Ummah Bora Uliotolewa kwa Watu” … Enyi Majeshi ya Waislamu kwa Nini Hamuchangamki?!

Tangu Februari 24, 2020, mji mkuu wa India, Delhi, umekuwa ukishuhudia mauaji yanayotekelezwa na wanaoabudu ng’ombe dhidi ya Waislamu. Zaidi ya Waislamu 40 wameuawa na zaidi ya 200 wamejeruhiwa.

Soma zaidi...

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu