Wilayah Pakistan: Unganisheni Ardhi za Waislamu!
- Imepeperushwa katika Pakistan
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Ardhi zote za Waislamu ziko chini ya ufaradhi wa kutawaliwa kwa Uislamu, kupitia Khilafah. Kama vile Swalah, hatuna mfano mwengine wa kuuiga, isipokuwa ule wa Mtume ﷺ. Khulafaa Rashidun (ra) walitawala kwa Uislamu kwa mujibu wa njia yake ﷺ, na sisi pia ni lazima.