Ni Nani Aliye Mbora katika Hukmu Kando na Mwenyezi Mungu kwa Watu Wenye Yakini?
- Imepeperushwa katika Kenya
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
Mahakama ya Jinai ya Kimataifa (ICC) hatimaye imewaondolea mashtaka yote ya jinai dhidi ya Naibu Rais wa Kenya, William Samoe Ruto na mtangazaji wa redio Joshua arap Sang.



