Maandamano Baridi Dhidi ya Kitendo cha Kisafihi cha Rais wa Amerika Juu ya Kadhia ya Al-Quds (Jerusalem)
- Imepeperushwa katika Kenya
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
Mnamo Ijumaa 15 Disemba, 2017 Hizb ut Tahrir Kenya iliongoza Umma katika miji mbali mbali mikubwa katika maandamano baridi dhidi ya tangazo la hivi majuzi la Raisi wa Amerika Donald J Trump mnamo 6 Disemba 2017.



