Jumatatu, 28 Safar 1446 | 2024/09/02
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Bajeti ya Janga ya Kikoloni na Amana za Benki za Dolari Bilioni 60 ni Kizuizi cha Mzunguko wa Kiuchumi na Vita dhidi ya Mwenyezi Mungu na Mtume Wake!

Benki Kuu ilisema kwamba amana za mfumo wa benki zilifikia dinari bilioni 43.292 mwishoni mwa Novemba iliyopita. Amana za benki ziliongezeka kwa 2.8% ikilinganishwa na kipindi kama hicho mwaka 2022, huku idadi inayokadiriwa ya wakopaji kutoka benki za Jordan ikifikia takriban watu milioni 1.2.

Soma zaidi...

Hata kama Serikali zote za Magharibi na Mawakala wao katika Ulimwengu wa Kiislamu Wataipiga Marufuku Hizb ut Tahrir, Hizb ut Tahrir Itasimamisha Tena Khilafah na Kung'oa Mfumo wa Kilimwengu wa Magharibi, Kwa Idhini ya Mwenyezi Mungu (swt)

Gazeti mashuhuri zaidi la lugha ya Kiingereza nchini Pakistan, Gazeti la ‘The Dawn’ liliripoti kupigwa marufuku kwa Hizb ut Tahrir nchini Uingereza, likiwa na kichwa, “Uingereza yapiga marufuku Hizb ut Tahrir kama kundi la kigaidi.”

Soma zaidi...

Hizb ut Tahrir Inalipa Gharama ya Kutetea Masuala ya Ummah na Kutoa Wito kwa Majeshi yake Kuwanusuru Watu wa Gaza

Mnamo Ijumaa, Januari 19, 2024, Uingereza ilipiga marufuku rasmi Hizb ut Tahrir, ikiituhumu kwa chuki dhidi ya Mayahudi na kuunga mkono shambulizi la Hamas mnamo Oktoba 7, 2023, dhidi ya umbile la Kiyahudi. Iliiongeza Hizb kwenye orodha yake ya mashirika yaliyoainishwa kama mashirika ya kigaidi.

Soma zaidi...

Badala ya Kunyesheza Makombora jijini Tel Aviv kwa ajili ya Ukombozi wa Ardhi Iliyobarikiwa ya Palestina, Majeshi ya Waislamu Yanarushiana Makombora katika Maeneo Yao Wenyewe katika kwa Sababu ya Upotofu fikra ya Dola ya Kitaifa

Baada ya mashambulizi ya droni na makombora ya Iran katika wilaya ya Panjgur ya Pakistan, Pakistan pia ilifanya mashambulizi katika eneo la Sistan nchini Iran. Mashambulizi ya kujibizana yanathibitisha kwamba upotofu wa fikra ya dola ya kitaifa ndiyo sababu halisi ya mgawanyiko, na kusababisha udhaifu wa nguvu za Waislamu.

Soma zaidi...

Marufuku ya Uingereza juu ya Hizb ut Tahrir: Udhibiti wa Kutapatapa na Unafiki wa Hali ya Juu

Leo, Januari 19, 2024, Hizb ut Tahrir imepigwa marufuku nchini Uingereza kwa uamuzi wa kisiasa pasi na kivuli cha mchakato wa kisheria. Marufuku hiyo ilianzishwa siku nne tu baada ya Waziri wa Mambo ya Ndani wa Uingereza, James Cleverly, kutangaza kwamba angeiongeza Hizb ut Tahrir kwenye orodha ya magaidi ya Uingereza.

Soma zaidi...

Mayahudi Wamefichua Mzingiro wa Utawala wa Misri kwa Watu wa Gaza na Kuwa ni Mshirika katika Uhalifu wake Dhidi Yao!

Afrika Kusini ilifungua kesi dhidi ya umbile la Kiyahudi mbele ya Mahakama ya Kimataifa ya Haki, na umbile la Kiyahudi likajibu kwa kukana mashtaka hayo, likijua kuwa hata ikiwa litakiri na kuhukumiwa na Mahakama ya Kimataifa, hakuna mtu atakayeweza kulishambulia au kulitia hatiani.

Soma zaidi...

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu