Alhamisi, 03 Rabi' al-awwal 1446 | 2024/09/05
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Ujumbe kutoka Hizb ut Tahrir Watembelea Ubalozi wa Uswidi jijini Beirut Kutaka Kusitishwa kwa Uhamisho wa Odiljon Jalilov hadi Uzbekistan

Mnamo siku ya Ijumaa, tarehe 12/11/2021, Ujumbe wa Hizb ut Tahrir ukiongozwa na Mkurugenzi wa Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir, Mh. Salah Eddine Adada, akifuatana na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Mawasiliano ya Hizb ut Tahrir nchini Lebanon Mh. Saleh Salam,

Soma zaidi...

Watoto 10,000 Wameuwawa au Kulemazwa wakati wa Vita nchini Yemen Mpaka Lini Idadi ya Watoto wa Yemen Itaendelea Kufa?!

UNICEF ilitangaza kuwa watoto 10,000 wa Yemen ima wameuawa au kulemazwa tangu kuanza kwa vita nchini Yemen mwezi Machi 2015 na kuongezea kuwa vifo vingi zaidi vya watoto na majeruhi havirekodiwi na milioni 11 wanahitaji msaada wa kibinadamu na karibu 400,000 wanaugua utapiamlo mkali huku zaidi yawatoto milioni 2 hawako shuleni.

Soma zaidi...

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu