Jumamosi, 11 Shawwal 1445 | 2024/04/20
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Wilayah ya Syria: Amali za Nusra kwa Msikiti wa Al-Aqsa na Ardhi Iliyobarikiwa

Hizb ut-Tahrir / Wilayah Syria iliandaa msururu wa visimamo na maandamano kukemea unyanyasaji wa kinyama wa umbile la Kiyahudi dhidi ya wenye kuswali na kufanya itikaf katika Msikiti wa Al-Aqsa uliobarikiwa, ambao ulisababisha kujeruhiwa kwa Waislamu zaidi ya 600, wengi wao wakiwa vibaya, majeraha ya moja kwa moja kichwani.

Soma zaidi...

Kuiweka Wazi Hali ya Palestina

Tokea siku za mwisho za Ramadhan wakati watu wengi kote duniani wakitazama picha za kuogofya huku vikosi vya Kizayuni vikivamia eneo la al-Aqsa na walowezi wa Kizayuni wakijaribu kuwafurusha wakaazi katika Sheikh Jarrah, mambo sasa yamepamba moto na kuwa mzozo kamili wakati umbile la Kiyahudi sasa likiivamia Gaza.

Soma zaidi...
Jiunge kwa hii RSS feed

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu