Ijumaa, 19 Ramadan 1445 | 2024/03/29
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Afisi ya Habari
Wilayah Sudan

H.  4 Muharram 1444 Na: HTS 1444 / 01
M.  Jumanne, 02 Agosti 2022

 Taarifa kwa Vyombo vya Habari
Mwaliko wa Kuhudhuria na Kushiriki katika Mkao wa Kadhia za Umma

(Imetafsiriwa)

Ni furaha kwetu sisi katika Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir / Wilayah ya Sudan kuwaalika ndugu zetu katika vyombo vya habari, wanasiasa, na wanafikra na maoni kuhudhuria na kushiriki katika Mkao wa Kadhia za Ummah wa kila mwezi, ambao hushughulikia maswala yaliyoko sasa, chini ya kichwa:

Serikali Ijayo baina ya Udhibiti wa Wanajeshi na Mizozo ya Raia

Wazungumzaji katika mkao huu ni:

1- Ustadh Nasir Ridha – Mkuu wa Kamati Kuu ya Mawasiliano ya Hizb ut Tahrir katika Wilayah ya Sudan

2- Mhandisi Basil Mustafa – Mwanachama wa Hizb ut Tahrir

3- Mwenyekiti Ustadh Muzammil Assiddiq – Mwanachama wa Hizb ut Tahrir

Wakati: Jumamosi, 08 Muharram 1444 H sawia na 06/08/2022, 11 am.

Mahali: Afisi ya Hizb ut Tahrir / Wilayah ya Sudan - Khartoum Mashariki / Magharibi mwa Barabara ya Al-Mak Nimr Makutano ya Barabara ya 21 Oktoba

Wale ambao hawataweza kuhudhuria wanaweza kutufuatilia katika mitandao ifuatayo:

Ukurasa wa Vyuo Vikuu: https://www.facebook.com/tahrir1953/

Ukurasa wa Wilayah: https://www.facebook.com/HTSudan/

Chaneli ya YouTube ya Hizb: https://www.youtube.com/channel/UCUwZ-FlOIDgnk2Mook_9M-A

Uwepo wenu ni heshima kwetu na utanogeza mkao huu.

Ibrahim Othman (Abu Khalil)
Msemaji Rasmi wa Hizb ut Tahrir
katika Wilayah Sudan

Hizb-ut Tahrir: Afisi ya Habari
Wilayah Sudan
Address & Website
Tel: 

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu