Alhamisi, 09 Shawwal 1445 | 2024/04/18
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Afisi ya Habari
Wilayah Sudan

H.  2 Safar 1444 Na: HTS 1444 / 05
M.  Jumatatu, 29 Agosti 2022

 Mwaliko wa Kuhudhuria na Kushiriki katika Mkao wa Kadhia za Umma
(Imetafsiriwa)

Sisi katika Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir/Wilayah ya Sudan tunafuraha kuwaalika ndugu zetu katika vyombo vya habari, wanasiasa, na watu wenye fikra na maoni kuhudhuria na kushiriki katika Mkao wa Kadhia za Ummah wa kila mwezi, ambao unashughulikia masuala ya kisasa, chini ya kichwa:

“Je, Khilafah Inakabiliana Vipi na Mafuriko na Mvua”

Wazungumzaji katika mkao:

1. Ustadh Ibrahim Othman (Abu Khalil) – Msemaji Rasmi wa Hizb ut Tahrir katika Wilayah ya Sudan.

2. Ustadh ‘Awadh Naji – Mwanachama wa Hizb ut Tahrir.

Mwenyekiti Ustadh Ibrahim Mushrif – Mwanachama wa Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir.

Wakati: Jumamosi, 07 Safar 1444 H sawia na 03/09/2022 M, at 11 am.

Sehemu: Afisi ya Hizb ut Tahrir / Wilayah ya Sudan - Khartoum Mashariki / Magharibi mwa Barabara ya Al-Mak Nimr makutano ya Barabara ya 21 Oktoba

Wale ambao hawataweza kuhudhuria wanaweza kutufuatilia katika mitandao ifuatayo:

Ukurasa wa Vyuo Vikuu: https://www.facebook.com/tahrir1953/

Ukurasa wa Wilayah: https://www.facebook.com/HTSudan/

Chaneli ya YouTube ya Hizb: https://www.youtube.com/channel/UCUwZ-FlOIDgnk2Mook_9M-A

Uwepo wenu ni heshima kwetu na utanogesha mkao huu.

Ibrahim Othman (Abu Khalil)
Msemaji Rasmi wa Hizb ut Tahrir
katika Wilayah Sudan

Hizb-ut Tahrir: Afisi ya Habari
Wilayah Sudan
Address & Website
Tel: 

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu