Kipindi cha Al-Waqiyah TV: Hewani na Ahmad al-Qasas
- Imepeperushwa katika Al-Waqiyah TV
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir inafuraha kuwasilisha kwa wafuasi na wanaozuru kurasa za Afisi Kuu ya Habari chaneli yake mpya ya Runinga, Al-Waqiyah, kipindi kipya kwa jina "Hewani na Ahmad al-Qasas" ambapo Sheikh Ahmad al-Qasas atakichambua kitabu, Nidhamu ya Uislamu. Kuwa pamoja nasi.