Hizb ut Tahrir / Wilayah Sudan: Mkao wa Kadhia za Ummah Kuvunjwa kwa Khilafah na Majanga Yaliyofuata Juu ya Ummah
- Imepeperushwa katika Sudan
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Hizb ut Tahrir / Wilayah Sudan ilifanya mkao wake wa kawaida kila wiki mnamo Jumamosi, Rajab 1, 1442 Hijria, sawia na tarehe 13/2/2021 M, mkao wa Kadhia za Ummah, ambalo ulisimamishwa kwa wiki kadhaa kutokana na hatua za kiafya za janga la virusi vya Korona.