Jibu la Swali: Kumtegemea Dhalimu
- Imepeperushwa katika Maswali ya Kimfumo
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Nina maswali mawili muhimu, na natumai kuwa jibu litakuwa la kina kadiri inavyowezekana, nikijua kuwa majibu yanayochapishwa ni ya kina kila wakati, lakini ningependa dalili nyingi za Shariah zenye maelezo ya kina ili ufahamu wa maswala haya uwe wa kina.