Siasa ya Marekani Juu Ya Mas-Ala Mawili ya Palestina Na Iran
- Imepeperushwa katika Maswali ya Kisiasa
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Katika jibu la swali lilopita la 05/02/2017, imefafanuliwa misingi mikuu ya siasa ya Trump kuelekea kutumia “matunda” ya siasa ya Obama katika Syria na hasa kuibuka kwa dori ya Uturuki kwa nguvu katika kuisalimisha Aleppo kwa serikali, na vilevile kuelekea kuidunisha dori ya Urusi.