Jumatatu, 23 Jumada al-awwal 1446 | 2024/11/25
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan: Kutaka Kuhamasishwa Majeshi ili Kuinisuru Gaza Kutaendelea licha ya Ukamataji Mashababu wa Hizb ut Tahrir!

Watawala wa Pakistan wanawatia mbaroni miongoni mwa safu za Hizb ut Tahrir/Wilayah Pakistan ili kuizuia Hizb kutaka kuhamasishwa jeshi la Pakistan kuinusuru Gaza. Lakini Umma mzima unatoa wito kwa majeshi yake kupigana jihad ili kufikia moja kati ya mema mawili ili kuukomboa Msikiti uliobarikiwa wa Al-Aqsa, basi ukamataji huo utawazuia vipi watu wake?!

Soma zaidi...

Baraza la Usalama liko “Mfukoni mwa Marekani” Likiendeshwa na Maslahi yake na Maslahi ya Mayahudi na Wakoloni wa Makafiri

Mnamo tarehe 11/6/2024, Baraza la Usalama lilitoa azimio la kuunga mkono mradi wa Biden kwa ajili uvamizi wa kikatili wa Kiyahudi dhidi ya Gaza, bali Palestina yote! Maandishi ya azimio hilo, kama yalivyochapishwa na CNN, mnamo tarehe 11 Juni 2024, yalisema yafuatayo: (Baraza la Usalama “linakaribisha pendekezo jipya la kusitisha mapigano lililotangazwa mnamo Mei 31, ambalo lilikubaliwa na ‘Israel,’ na kutoa wito kwa Hamas pia kulikubali, na kuzitaka pande husika zikubali kutekeleza masharti yake kikamilifu bila kuchelewa na bila masharti.”

Soma zaidi...

Hizb ut Tahir / Indonesia: Amali Pana za Kuyataka Majeshi ya Waislamu Kuiokomboa Al-Aqsa!

Hizb ut Tahrir / Indonesia iliandaa amali mbele ubalozi wa Marekani katika mji mkuu wa Indonesia Takarta iliyobeba kauli mbiu “Palestina Inakombolewa kwa Jihad na Khilafah” ambayo walishiriki ndani yake zaidi ya Waislamu elfu 13 wanaume na wanawake iliyotaka kuhamasishwa majeshi ya Waislamu kuwanusuru Waislamu katika Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina)

Soma zaidi...

Hizb ut Tahrir / Wilayah Tunisia: Matembezi “Ardhi ya Palestina ni ya Kiislamu na Haina Nafasi ya Mazungumzo!”

Maandamano ya 34 mfululizo, tangu kuanza kwa Kimbunga cha Al-Aqsa, yalifanyika mbele ya Msikiti wa Al-Fatah katika mji mkuu wa Tunis, ambayo yaliitishwa na Hizb ut Tahrir/Wilayah Tunisia kwa watu wa Zaytouna na kichwa chake kilikuwa “Ardhi ya Palestina ni ya Kiislamu na Haina Nafasi ya Mazungumzo!

Soma zaidi...

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu