Ujumbe kutoka Hizb ut Tahrir / Wilayah ya Sudan Wakutana na Mkurugenzi wa Idhaa ya Taifa (Omdurman)
- Imepeperushwa katika Sudan
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Ndani ya wigo wa kampeni ya Hizb ut Tahrir/Wilaya ya Sudan ya kupambana na mihadarati, ujumbe kutoka hizb leo, Jumapili 19/02/2023, kwa uongozi wa Ustadh Ibrahim Othman Abu Khalil - msemaji rasmi wa Hizb ut Tahrir katika Wilayah Sudan