Alhamisi, 24 Jumada al-thani 1446 | 2024/12/26
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

Kampeni ya Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir

Hakuna Suluhisho Kashmir Isipokuwa Kuandaa Jeshi la Waislamu Kuikomboa

Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir imezindua Kampeni kwa kichwa:

“Hakuna Suluhisho Kashmir Isipokuwa Kuandaa Jeshi la Waislamu Kuikomboa

Inatoa mwito kwa majeshi ya Waislamu ili kuikomboa Kashmir na ardhi nyingine zilizovamiwa na Waislamu.

Baada ya watawala wa Pakistan kuwatelekeza fursa ya kuikomboa Kashmir kupitia Jihad na mapambano ya kisilaha na baada ya kuiondosha mikono yao kutokana na kunusuru upinzani ndani ya Kashmir na baada ya kuufuatilia upinzani kama ugaidi, India ikadhaminiwa na upande wa Pakistan. Lau watawala wa Pakistan wangelikuwa waaminifu na watiifu kwa Kashmir, India isingechukua maamuzi hayo, kama walivyofanya watawala Waarabu na waungaji mkono wao ambao wamesalimisha vichwa vyao mbele ya umbile la Kiyahudi la kihalifu katika kuusaliti Uislamu na Waislamu ili kutelekeza masuala muhimu ya Waislamu!

Kinyume na misimamo ya watawala wa Pakistan, watu wa Kashmir pamoja na watu wa Pakistan wakijumuisha wanachama wa vikosi vya majeshi ndani ya Pakistan, wamepinga uvamizi wa India ndani ya Kashmir na wametiwa motisha kupigana Jihad kwa ajili ya Mwenyezi Mungu ili kuikomboa Kashmir na kuiunganisha na Pakistan hususan baada ya kukatikiwa kwa ukamilifu kwamba wanao uwezo wa kuikomboa. Lau ingelikuwa sio kwa ukhaini na usaliti wa watawala wa Pakistan, Kashmir ingelikuwa ishakombolewa. Mzozo wa Kashmir ni janga la kiungozi ambao unatakiwa kuwaongoza watu na wanajeshi kwenda katika vita vya ukombozi na hapa inathibitishwa kwamba ni dharura kufanya kazi kusimamisha Khilfah ya uongofu kwa njia ya Utume ndani ya Pakistan ili kuweza kuliongoza jeshi la Khilafah ya uongofu sio tu kwa ukombozi wa Kashmir bali kuiweka India yote chini ya hukumu ya Qur’an na Sunnah kama ilivyokuwa karne zilizopita ili kufikia hilo, wafanyikazi wafanye kazi ili kufaulisha hili.

Ijumaa, 08 Dhu al-Hijjah 1440 H - 09 Agosti 2019 M

- Kufuatilia Kampeni kwa Lugha Nyenginezo -

Ujumbe wa Video ya Mhandisi Salah Eddine Adadah (Abu Mohammad)
Mkurugenzi wa Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir

Akitangaza kuzinduliwa kwa kampeni pana ya Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir kwa anwani, "Hakuna Suluhisho Kashmir Isipokuwa Kuandaa Jeshi la Waislamu Kuikomboa" ili kutafuta nusra ya Majeshi ya Waislamu kuikomboa Kashmir na nchi zote za Waislamu zilizokaliwa.

Ijumaa, 08 Dhu al-Hijjah 1440 H sawia na 09 Agosti 2019 M

Fuatilia Kampeni katika Facebook kwa Lugha ya Kiarabu

FUATILIA ALAMA ISHARA ZA KAMPENI

 KhilafahLiberatesKashmir#         
  #الخلافة_تحرر_كشمير

 
 #KeşmiriHilafetKurtaracak  

#پاک_فوج_حرکت_میں_آؤ_کشمیر_کو_آزاد_کراؤ

Jumamosi, 28 Dhu al-Hijjah 1442 H sawia na 07 Agosti 2021 M

Kitengo cha Wanawake katika Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir:
Ratiba ya Nyakati za Historia ya Kashmir na Kukaliwa kwake na India

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu