Ijumaa, 25 Jumada al-thani 1446 | 2024/12/27
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir Tufani ya Twitter

Operesheni Kimbunga cha Al Aqsa Ujumbe wa Dharura kwa Ummah wa Kiislamu na Majeshi yake!

Kwa kuzingatia matendo ya kishujaa yaliyofanywa na mujahidina mashujaa katika Ardhi Iliyobarikiwa – Palestina chini ya kauli mbiu ya Kimbunga cha Al-Aqsa dhidi ya umbile nyakuzi la Kiyahudi linaloendelea, na kuzidi katika mashambulizi yake kwa Msikiti Uliobarikiwa wa Al-Aqsa na uzingiraji wake na ulipuaji mabomu ambao umeendelea kwa miaka 17 kwenye Ukanda wa Gaza, Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir itafanya Tufani ya Twitter ambayo sasa inajulikana kama X chini ya kichwa:

Operesheni Kimbunga cha Al Aqsa Ujumbe wa Dharura kwa Ummah wa Kiislamu na Majeshi yake!

Nusra kwa Waislamu katika Ardhi Iliyobarikiwa - Palestina na Nusra kwa majeshi ya Waislamu kukata minyororo ambayo watawala wa Ruwaibidha wamefunga ndani ya kambi zao ili waweze kutaharaki mara moja kunusuru Operesheni ya Kimbunga cha Al-Aqsa na kuukomboa Msikiti wa Al-Aqsa Uliobarikiwa kutoka kwa makucha ya Mayahudi wanyakuzi.

Inshallah, mnamo Jumamosi na Jumapili Oktoba 21 na 22, 2023 Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir itaandaa dhoruba ya Twitter kwa ajili ya kunusuru amali ya “Operesheni Kimbunga cha Al Aqsa Ujumbe wa Dharura kwa Ummah wa Kiislamu na Majeshi yake!”, tafadhali ungana nayo kwa ushiriki kamili.

Simama pamoja nasi leo ili kuvuna thawabu na Mwenyezi Mungu atatupa ushindi, hata kama ni baada ya muda.

Ijumaa, 5 Rabi' al-Akhir 1445 H - 20 Oktoba 2023 M

Tafadhali nusuru amali hii, kwa kuzuru kurasa zetu rasmi mara kwa mara na ku-like, na kusambaza nyenzo - kwenye FB, Twitter, Instagram, WhatsApp na mitandao mingine ya kijamii na pia kutoa maoni juu ya machapisho.

Vilevile tafadhali tumia hizi alama ishara za kampeni kila unapo sambaza machapisho:

#AlAqsaStorm

#AlAqsaFlood

#طوفان_الأقصى

#الأقصى_يستصرخ_الجيوش

#الجيوش_إلى_الأقصى

#ArmiesToAqsa

#AqsaCallsArmies

#Aqsa_calls_armies

#AksaTufanı

#OrdularAksaya

Ili kusoma Toleo lililochapishwa na Hizb ut Tahrir:

[لَنْ يَضُرُّوكُمْ إِلَّا أَذًى وَإِنْ يُقَاتِلُوكُمْ يُوَلُّوكُمُ الْأَدْبَارَ ثُمَّ لَا يُنْصَرُونَ]

“Maadui hawatakudhuruni ila ni maudhi tu. Na wakipigana nanyi watakupeni mgongo, na tena hawatanusuriwa.” [Aali-Imran 3:111]

Jumapili, 23 Rabii' Al-Awwal 1445 H - 8 Oktoba 2023 M

Bonyeza Hapa

Ili kusoma Toleo lililochapishwa na Hizb ut Tahrir:

[هَذَا بَلَاغٌ لِلنَّاسِ وَلِيُنْذَرُوا بِهِ]

Hili ni Tangazo liwafikie watu, liwaonye” [Ibrahim: 52]

Jumatano, 3 Rabi’ ul Akhir 1445 H - 18 Oktoba 2023 M

Bonyeza Hapa

Vipeperushi vya Kiingereza

Vipeperushi vya Kiarabu Sehemu 1

Vipeperushi vya Kiarabu Sehemu 2

Vipeperushi vya Kituruki

Vipeperushi vya Kiurdu

Fuatilia link zifuatazo za Ardhi Iliyobarikiwa – Palestina:

Operesheni Kimbunga cha Al-Aqsa

Ujumbe wa Dharura kwa Umma wa Kiislamu na Majeshi yake!

Kiingereza

Kiarabu

Kituruki

Kijerumani

Kiurdu

Kwa Maelezo Zaidi, Zuru Mitandao ya Hizb ut Tahrir:

Tovuti Rasmi: Hizb ut Tahrir

Facebook: Hizb ut Tahrir

Twitter: Hizb ut Tahrir

Instagram: Hizb ut Tahrir

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu