Jumanne, 22 Jumada al-thani 1446 | 2024/12/24
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

Hizb ut Tahrir / Amerika: Kuirudisha Palestina.. Mtazamo wa Kisiasa wa Kiislamu!

Dkt. Ashraf Nusairat, Dkt. Mohammed Malkawi, Jiunge nasi kwa kongamano lenye utambuzi kuhusu Kuirudisha Palestina: Mtazamo wa Kisiasa wa Kiislamu. Kwa kuzingatia mapambano yanayoendelea, ni wazi kuwa masuluhisho ya sasa yanayoongozwa na Amerika yanashindwa kushughulikia sababu kuu za mzozo huo. Hafla hii itavinjari mwelekeo tofauti-uliojikita katika kanuni na uadilifu wa Kiislamu-ili kutoa njia ya mabadiliko ya kudumu. Usikose fursa hii ya kushiriki katika mijadala muhimu kwa mustakabali wa Palestina na ulimwengu wa Kiislamu kwa jumla.

Jumamosi, 18 Rabi-ul Awwal 1446 H - 21 Septemba 2024 M

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu