Jumanne, 22 Jumada al-thani 1446 | 2024/12/24
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

Australia: Kisimamo Mbele ya Ubalozi Mdogo wa Ufaransa Kushutumu Matusi kwa Mtume wetu Mtukufu (saw)!

Hizb ut-Tahrir / Australia iliandaa kisimamo mbele ya Ubalozi Mdogo wa Ufaransa jijini Sydney / Australia kukemea matusi kwa Mtume wetu mtukufu (saw), na hilo ni pamoja na msimamo wa mara kwa mara wa Ufaransa dhidi ya Uislamu na uchochezi wake dhidi ya Waislamu kote ulimwenguni, ambapo kisimamo hicho mbele ya Ubalozi Mdogo wa Ufaransa jijini Sydney kilituma ujumbe wazi kwamba Waislamu kamwe hawatakubali matusi ya kimaandishi au ya kimwili dhidi ya Waislamu, Nabii wa Waislamu, au dini ya Waislamu, iwe ni kutoka kwa watu binafsi, vyombo vya habari, au dola.

Jumamosi, 21 Rabi' ul-Awwal 1442 H sawia na 07 Novemba 2020 M

Kalima ya Mhandisi Ismail Al-Wahwah (Abu Anas)

Mwanachama wa Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir Australia


Kalima ya Ustadh Wassim Doureihi

Mwanachama wa Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir Australia

Imebadilishwa mara ya mwisho mnamoAlhamisi, 19 Novemba 2020 22:51

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu