Jumanne, 22 Jumada al-thani 1446 | 2024/12/24
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

 Hizb ut Tahrir/ Wilayah Bangladesh: Kampeni, Fanyakazi na Hizb ut Tahrir ili Kusimamisha Khilafah Rashida

Wakati ambapo Waislamu wanataabika na kuhisi kutokuwepo kwa ngao yao, Khilafah, Hizb ut Tahrir Wilayah Pakistan imeanzisha Kampeni ya Twitter ili kuwataka simba wa Vikosi vya Kijeshi vya Pakistan kutoa Nussrah kwa Hizb ut Tahrir ili kusimamisha Khilafah ili hatimaye waweze kuunganishwa katika ukombozi wa Kashmir iliyo Vamiwa, na kwenda kuikomboa Al Aqsa Al Mubarak.

Kampeni ya Twitter itaandaliwa mnamo Jumapili 15 Septemba 2019 saa 4 usiku PST. Inshallah.

A Twitter Campaign will be organized on Sunday 15 September 2019 at10 pm PST Inshallah.

#EstablishKhilafahLiberateKashmir

Mtume wa Mwenyezi Mungu (saw) alisema,

«إِنَّمَا الْإِمَامُ جُنَّةٌ يُقَاتَلُ مِنْ وَرَائِهِ وَيُتَّقَى بِهِ»

“Hakika, Khalifah ni ngao na nyuma yake mnapigana na mnajilinda.” [Muslim]

Sambaza na shiriki

Ijumaa, 07 Muharram 1441 H - 06 Septemba 2019 M

Imebadilishwa mara ya mwisho mnamoIjumaa, 10 Aprili 2020 16:18

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu