Jumamosi, 11 Shawwal 1445 | 2024/04/20
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

 Denmark: Ujumbe kwa Ubalozi wa Pakistan Kutaka Kuachiliwa Huru kwa Naveed Butt!

Imepita zaidi ya miaka tisa tangu serikali ya Pakistan ilipomteka nyara Mhandisi Naveed Butt Msemaji Rasmi wa Hizb ut Tahrir katika Wilaya ya Pakistan, na tangu alipotekwa nyara hajulikani aliko!

Kuhusiana na hili, Hizb ut Tahrir nchini Denmark ilituma ujumbe kwa ubalozi wa Pakistan jijini Copenhagen kutaka kuachiliwa huru mara moja kwa mhandisi aliyetekwa nyara kiholela na kihalifu, Naveed Butt, kwa kutaka kwake kuanza tena kwa maisha ya Kiislamu na kwa kubeba kwake ulinganizi kwa njia ya Mtume wa Mwenyezi Mungu (saw).

Jumatatu, 10 Dhu al-Qa'adah 1442 H sawia na 21 Juni 2021 M

#FreeNaveedButt 

#TimeForIslam 

#TimeForKhilafah 

#HizbBritain

Kwa Maelezo Zaidi Zuru Mitandao ya Hizb ut Tahrir / Denmark:

Tovuti Rasmi ya Hizb ut Tahrir Denmark

Ukurasa Rasmi wa Facebook wa Hizb ut Tahrir Denmark

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu