Jumanne, 06 Dhu al-Hijjah 1443 | 2022/07/05
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

Hizb ut Tahrir / Denmark

Ujumbe kwenda katika Ubalozi wa China katika Kuunga Mkono Watu wetu eneo la Turkistan Mashariki.

Kufuatia uvamizi wa kutisha wa Utawala wa China kwa Waislamu Wetu wa Uighur eneo la Turkistan Mashariki, na chini ya muongozo wa mwanachuoni mkubwa Ata Bin Khalil Abu al-Rashtah, Amir wa Hizb ut Tahrir, ujumbe kutoka Hizb ut Tahrir / Denmark ulizuru Ubalozi wa China uliopo jijini Copenhagen na kuupatia Taarifa kwa Vyombo vya Habari iliyotolewa na Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir kwa anwani, “Khilafah itaikomboa Turkistan Mashariki Na Itaiwaweka huru wauyghur kutoka katika Ukandamizaji ovu wa China.”

Jumanne 26 Rajab 1440 H sawia na 2 Aprili 2019 M

Risala kutoka kwa Ujumbe huo kwenda kwa Ubalozi wa China

 

 

Imebadilishwa mara ya mwisho mnamoJumatano, 22 Aprili 2020 06:44

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu