Hizb ut Tahrir / Indonesia: Mkutano wa Wanachuoni Nchini Indonesia (Multaqo ‘Ulema) umesisitiza Kuendeleza Mvutano wa Kusimamisha Khilafah
- Imepeperushwa katika Indonesia
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Zaidi ya wanachuoni 600, Masheikh na wahudumu wa Kiislamu, wakiwemo Habayeb na Maprofesa, walishiriki mkutano wa wanachuoni katika eneo la Madura / Java Mashariki, uliosadifiana na kumbukumbu la tukio la Isra na Miraaj ya Mtume (saw).