Jumanne, 24 Muharram 1446 | 2024/07/30
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

Hizb ut Tahrir / Kenya:

Nusra kwa Wafungwa wa Dhamiri nchini Uzbekistan!

Ushiriki wa Hizb ut Tahrir/Kenya katika amali za kampeni ya kilimwengu iliyozinduliwa na Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir yenye kichwa “Enyi Umma; Kilio Wanacholia Wafungwa wa Dhamiri nchini Uzbekistan!” kuwanusuru ndugu na dada zetu wafungwa wa kisiasa kwenye magereza maovu ya Uzbekistan kwa sababu tu wanasema [Mola wetu Mlezi ni Mwenyezi Mungu].

Jumamosi, 21 Muharram 1446 H sawia na 27 Julai 2024 M

Kalima ya Ustadh Shaaban Mwalimu

Mwakilishi kwa Vyombo vya Habari wa Hizb ut Tahrir Kenya

kama sehemu ya amali za Kampeni ya Kilimwengu kuwanusuru wafungwa wa dhamiri nchini Uzbekistan

Jumamosi, 21 Muharram 1446 H sawia na 27 Julai 2024 M

Alama Ishara za Kampeni

#صرخة_من_أوزبيكستان

#PleaFromUzbekistan

#ЎЗБЕКИСТОНДАН_ФАРЁД

Kwa Maelezo Zaidi Zuru Mitandao ya Hizb ut Tahrir / Kenya:

Tovuti Rasmi ya Hizb ut Tahrir / Kenya

Ukurasa wa Facebook wa Hizb ut Tahrir / Kenya

Akaunti ya Twitter ya Hizb ut Tahrir / Kenya

Chaneli ya YouTube ya Hizb ut Tahrir / Kenya

Tovuti Rasmi ya Jarida la UQAB

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu