Jumanne, 22 Jumada al-thani 1446 | 2024/12/24
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

 Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan: Kampeni “Maadhimisho ya Rabi’ al-Awwal ni kwa Ajili ya Kusimamisha Khilafah kwa njia ya Utume.”

Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan imekamilisha kampeni pana kwenye mitandao ya kijamii kwa anwani:

“Maadhimisho ya Rabi’ al-Awwal ni kwa Ajili ya Kusimamisha Khilafah kwa njia ya Utume.”

Utume wa Mtume wa Mwenyezi Mungu (saw), ulikuwa ni neema kubwa kwa wanadamu wote, kwani Mwenyezi Mungu (swt) aliwatoa watu kwenye giza na kuwaingiza kwenye nuru, na Uislamu ukadhihiri juu ya dini zote. Mtume wa Mwenyezi Mungu (saw), aliutabikisha Uislamu katika nyanja zote za maisha, na akaangaza nuru ya Uislamu kote duniani kwa njia ya Da’wah na Jihad. Amesema Mwenyezi Mungu (swt):

هُوَ الَّذِي أَرْسَلَ رَسُولَهُ بِالْهُدَى وَدِينِ الْحَقِّ لِيُظْهِرَهُ عَلَى الدِّينِ كُلِّهِ وَلَوْ كَرِهَ الْمُشْرِكُونَ﴿

"Yeye ndiye aliye mtuma Mtume wake kwa uwongofu na Dini ya Haki ipate kushinda dini zote, ijapo kuwa washirikina watachukia." [At-Tawba 9:33] Hivyo, ndivyo Mtume wa Mwenyezi Mungu (saw) alivyoutabikisha Uislamu kivitendo katika hukmu na kuufanya utawale juu ya mifumo yote mengine.

Ewe Mwenyezi Mungu turudishie ngao yetu, Khilafah Rashida kwa njia ya Utume... Allahumma Amin.

#KhilafahOnMethodOfProphethood

Jumanne, 19 Rabi' ul-Awwal 1443 H sawia na 26 Oktoba 2021 M

Media

https://htmedia.zat.one/other/PK/2021/10/pk211014vid.mp4

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu