Jumatano, 22 Rajab 1446 | 2025/01/22
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

 Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan:

Khalifah ni Ngao ya Ummah wa Kiislamu!

Mtume wa Mwenyezi Mungu (saw) amesema,

إِنَّمَا الْإِمَامُ جُنَّةٌ يُقَاتَلُ مِنْ وَرَائِهِ وَيُتَّقَى بِهِ

“Hakika, Imam (Khalifah) ni ngao, watu hupigana nyuma yake na hujihami kwayo.” (Muslim)

Khalifah huwatawala Waislamu kwa yale yote yaliyoteremshwa na Mwenyezi Mungu (swt).

Khalifah ni ngao na mlinzi wa Waislamu wote kwa jumla.

Khalifah huyahamasisha majeshi yetu kuitikia vilio vya walio dhulumiwa.

Tunateseka kutokana na kuipoteza Khilafah mnamo 28 Rajab 1342 H (3 Machi 1924 M).

#أقيموا_الخلافة

#Time4Khilafah

#ReturnTheKhilafah

#YenidenHilafet

Ijumaa, 25 Jumadal al-Akhirah 1443 H - 28 Januari 2022 M

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu