Jumamosi, 03 Ramadan 1444 | 2023/03/25
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

 Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan:

Watu Wametambua kuwa Demokrasia Imefeli!

Watu Wametambua kuwa Demokrasia Imefeli. Njia pekee ya kujinasua ni kufuata Sunnah ya Mtume.

Mtume (saw) aliwaandaa watu katika Dar ul Arqam. Hivyo, ni lazima tuusome Uislamu ili tujiandae.

Mtume (saw) aliuongoza mujtamaa waziwazi, pamoja na Maswahaba zake (ra). Hivyo, ni lazima tuyazungumze waziwazi yale tunayoyasoma.

Mtume (saw) alitafuta Nusra (msaada wa kimada) kutoka kwa wapiganaji wa Ansar. Hivyo, ni lazima tuyatake majeshi yatoe Nusra ili kusimamisha Khilafah…

#RejectDemocracyEstablishKhilafah

Jumanne, 17 Shawwal 1443 H - 17 Mei 2022 M

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu