Ijumaa, 24 Rajab 1446 | 2025/01/24
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

 Hizb ut Tahrir/ Wilayah Pakistan: Nusrah ni Jukumu Lenu la Shariah, Enyi Wanajeshi wa Mwenyezi Mungu ﷻ, Hivyo Basi Itoeni Sasa

Wakati wa mgogoro wa sasa wa kisiasa, ni wajibu wa Kiislamu kwa majeshi ya Pakistan kutoa Nusrah, kwa ajili ya kusimamisha Dola ya Kiislamu mara moja.

Mtume (saw) yeye binafsi aliomba Nusrah kwa ajili ya Dini hii kutoka kwa watu wa vita, akiwauliza: فَهَلْ عِنْدَ قَوْمِكَ مِنْ مَنَعَةٍ؟ “Je, watu wako wanazo nguvu?”

Kwa hiyo, baada ya Aqabah ya Pili ya Nusrah, Yathrib iliyokuwa na matatizo ikawa Al-Madinah Al-Munawwarah yenye nguvu.

Hakika, sisi sote tunataka hukmu kwa yale yote aliyoteremsha Mwenyezi Mungu ﷻ. Ni lazima tuwatake maafisa wetu wa kijeshi watoe Nusrah kwa ajili ya kusimamisha tena Khilafah kwa Njia ya Utume.

#Nussrah4Khilafah.

Jumapili, 08 Safar-ul Khair 1444 H - 04 Septemba 2022 M

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu