Jumanne, 14 Rabi' al-awwal 1446 | 2024/09/17
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

Hizb ut Tahrir / Wilayah ya Pakistan: Enyi Majeshi, Moyo wa Msichana mdogo Rahaf Abu Sweireh ulisimama kutokana na Hofu Kuu!

Enyi majeshi, msichana mdogo Rahaf Ziyad Abu Sweireh (umri wa miaka 4), ambaye anatoka katika kambi ya Nuseirat huko Gaza, Hashem, aliuawa kishahidi baada ya moyo wake kusimama kwa hofu kutokana na ukali wa sauti ya mashambulizi ya mara kwa mara ya umbile nyakuzi la Kiyahudi. Basi lini mutanusuru kwa ajili yake na kwa kaka na dada zenu huko?!

Imetolewa na: Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir katika Wilayah ya Pakistan

Jumapili, 27 Safar Al-Khair 1446 H sawia na 01 Septemba 2024 M

#طوفان_الأقصى

#الجيوش_إلى_الأقصى

#الأقصى_يستصرخ_الجيوش

#AksaTufanı

#OrdularAksaya

#ArmiesToAqsa

#AqsaCallsArmies

Kwa Maelezo zaidi, Zuru Mitandao ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan

 Tovuti Rasmi: Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan

 Facebook: Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan

Twitter: Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu