- |
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- ukubwa wa font punguza ukubwa wa font zidisha ukubwa wa font
بسم الله الرحمن الرحيم
Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan: Ramadhan ya Mwaka Huu, ni Wakati wa Ukombozi (Tahrir) kutoka kwa Ukoloni wa Kijeshi!
Shirika la habari la Reuters liliripoti mnamo Februari 21, 2025 kwamba “Marekani imetoa dolari milioni 397 kusaidia mpango wa kijeshi katika chini ya Pakistan yenye silaha za nyuklia, huku msaidizi mmoja wa bunge akisisitiza kwamba matumizi ya F-16 ya Marekani katika operesheni za kukabiliana na ugaidi yatafuatiliwa isipokuwa dhidi ya India.” Huu ndio uhalisia wa ukoloni wa kijeshi: kuyafanya majeshi ya Waislamu kupigana wao kwa wao, huku wakiyazuia kupigana jihad dhidi ya India, umbile la Kizayuni, na majeshi ya Msalaba! Enyi Maafisa wa Jeshi la Pakistani Je, munaweza kufikiria kwamba dola ya Kiislamu ya Madina ingeweza kutegemea silaha za Warumi au Wafursi?! Acheni kujidhalilisha! Huisheni ari ya Vita vya Badr ndani ya Ramadhan, ondoeni tawala vibaraka, na toeni Nusra yenu kwa Hizb ut Tahrir ili kusimamisha Khilafah Rashida ambayo itaukomboa Ummah kutokana na utumwa.
Imetayarishwa na: Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir katika Wilayah Pakistan
Jumanne, 26 Sha'aban 1446 H sawia na 25 Februari 2025 M
Kwa Maelezo zaidi, Zuru Mitandao ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan
Tovuti Rasmi: Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan
Facebook: Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan
Twitter: Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan