- |
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- ukubwa wa font punguza ukubwa wa font zidisha ukubwa wa font
بسم الله الرحمن الرحيم
Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan: Msikiti wa Al-Aqsa Waliita Jeshi la Pakistan!
Kwa kaka zetu, baba zetu na wana wetu katika Jeshi la Pakistan:
Miezi kumi na minane imepita tangu watu waoga zaidi kuwavamia binti zetu, dada na mama zetu nchini Palestina!
Tunajua kwamba muna shauku ya kupigana na majeshi ya Mayahudi waoga, na kwamba, kwa fadhila ya Mwenyezi Mungu, munaweza kuikomboa Ardhi Iliyobarikiwa kwa masaa machache tu.
Ikiwa uongozi wenu utaegemea upande wa Umma na viongozi wenu kwa jihad, Umma mzima utakuungeni mkono. Ikiwa utaegemea upande wa Magharibi, uondoe na mutoke.
Tokeni na mutazamie moja ya mambo mema mawili;
Ushindi au Shahada!
Tokeni mpaka sakafu ya Msikiti wa Al-Aqsa ijae Takbira za ushindi!
Tokeni enyi wana wa Salahuddin!
#Time4Khilafah
Imetolewa na: Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir katika Wilayah Pakistan
Ijumaa, 04 Dhu al-Qi'dah 1446 H sawia na 02 Mei 2025 M
#طوفان_الأقصى
#الجيوش_إلى_الأقصى
#الأقصى_يستصرخ_الجيوش
#AksaTufanı
#OrdularAksaya
#ArmiesToAqsa
#AqsaCallsArmies
Kwa Maelezo zaidi, Zuru Mitandao ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan
Tovuti Rasmi: Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan
Tovuti Rasmi ya Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan
Facebook: Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan
Akaunti ya X: Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan
Akaunti ya Instagram ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan