Alhamisi, 15 Dhu al-Qi'dah 1445 | 2024/05/23
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

Msikiti wa Al-Aqsa: Amali za Ijumaa za Ramadhan 1444 H - 2023 M

- Ijumaa ya Kwanza -

Bait ul-Maqdis, 02 Ramadhan 1444 H - 24 Machi 2023 M

(Kalima ambazo zilitolewa ndani ya Mswala wa Al-Qibli)

- Kalima ya Kwanza -

[Uwanja wa kushindana kukimbilia kumtii Mwenyezi Mungu na kumtii Mtume wake!]

Kwa Fadhila za Sheikh Saeed Al-Karmi (Abu Abd Al-Rahman)

- Kalima ya Pili -

[هُوَ الَّذِي أَرْسَلَ رَسُولَهُ بِالْهُدَىٰ وَدِينِ الْحَقِّ]

Yeye ndiye aliye mtuma Mtume wake kwa uwongofu na Dini ya haki ili ipate kuzishinda dini zote”

Kwa Fadhila za Sheikh Essam Amira (Abu Abdullah)

- Kalima ya Tatu -

[Mambo Muhimu ya Kisiasa!]

Na Mwanafikra wa Kisiasa Ahmad Al-Khatawani (Abu Hamza)

- Kipindi cha Majibu ya Maswali -

- Kipindi cha Maingiliano, na Dua ya Kumalizia -

- Ijumaa ya Pili -

Bait ul-Maqdis, 09 Ramadhan 1444 H - 31 Machi 2023 M

(Kalima ambazo zilitolewa ndani ya Mswala wa Al-Qibli)

- Kalima ya Ufunguzi -

[Ikiwa Kichwa kitatengea, Mwili hautakuwa na Madhara!]

Kwa Fadhila za Sheikh Saeed Al-Karmi (Abu Abd Al-Rahman)

- Kalima ya Kwanza -

[وَهُمْ يَنْهَوْنَ عَنْهُ وَيَنْأَوْنَ عَنْهُ]

“Nao huwazuia watu, na wao wenyewe wanajitenga nayo.”

Kwa Fadhila za Sheikh Issam Ameirah (Abu Abdallah)

- Kalima ya Pili -

[Habari na Maoni]

Na Mwanafikra wa Kisiasa Ahmad Al-Khatawani (Abu Hamza)

- Kalima ya Tatu -

[Umma ulio katika Mitihani]

Na Ustadh Abu Moamen Al-Shami

- Kalima ya Nne -

[Mapinduzi ya Ash-Sham yangali na Matumaini!]

Na Sheikh Muhammad Ayed (Abu Abdallah)

- Kipindi cha Maswali na Majibu -

Na Mwanafikra wa Kisiasa Ahmad Al-Khatawani (Abu Hamza)

- Kipindi cha Maingiliano na Dua ya Kumalizia -

Na Mwanafikra wa Kisiasa Ahmad Al-Khatawani (Abu Hamza)

Kwa Fadhila za Sheikh Issam Ameirah (Abu Abdallah)

- Ijumaa ya Tatu -

Bait ul-Maqdis, 16 Ramadhan 1444 H - 07 Aprili 2023 M

(Kalima ambazo zilitolewa ndani ya Mswala wa Al-Qibli)

ُ﴾وَإِنِ ‌اسْتَنْصَرُوكُمْ فِي الدِّينِ فَعَلَيْكُمُ النَّصْر﴿
Lakini wakiomba msaada kwenu katika Dini, basi ni juu yenu kuwasaidia”

Al-Aqsa iko Chini ya Mzingiro na Mashambulizi

Na Sheikh Nidhal Siyam (Abu Ibrahim)

(Kalima ambazo zilitolewa ndani ya Mswala wa Al-Qibli)

- Kalima ya Ufunguzi -

[Mwamko wa Umma!]

Na Sheikh Saeed Al-Karami (Abu Abdel Rahman)

(Kalima ambazo zilitolewa ndani ya Mswala wa Al-Qibli)

- Kalima ya Kwanza -

[Kutoka katika Msikiti wa Al-Aqsa hadi...]

Kwa Fadhila za Sheikh Issam Ameirah (Abu Abdallah)

- Kalima ya Pili -

[Nusra ya Majeshi ndio Suluhisho Pekee la Ukombozi!]

Na Mwanafikra wa Kisiasa Ahmad Al-Khatawani (Abu Hamza)

- Kipindi cha Maswali na Majibu -

Na Mwanafikra wa Kisiasa Ahmad Al-Khatawani (Abu Hamza)

- Kipindi cha Maingiliano na Dua ya Kumalizia -

Na Mwanafikra wa Kisiasa Ahmad Al-Khatawani (Abu Hamza)

Kwa Fadhila za Sheikh Issam Ameirah (Abu Abdallah)

- Ijumaa ya Nne -

Bait ul-Maqdis, 23 Ramadhan 1444 H - 14 Aprili 2023 M

(Kalima ambazo zilitolewa ndani ya Mswala wa Al-Qibli)

- Kalima ya Ufunguzi -

[Yeyote Anayeishi kwa ajili ya Uislamu hao ndio ambao Mwenyezi Mungu (swt) atawafanya Washindi!]

Na Sheikh Saeed Al-Karami (Abu Abdel Rahman)

- Kalima ya Kwanza -

[Tofauti ya Maamuzi ya Waislamu Kabla na Waislamu wajao]

Kwa Fadhila za Sheikh Issam Ameirah (Abu Abdallah)

- Kalima ya Pili -

[Uchambuzi wa Kisiasa: Migogoro nchini Sudan, Kuinuka kwa China, na Uchaguzi wa Uturuki!]

Na Mwanafikra wa Kisiasa Ahmad Al-Khatawani (Abu Hamza)

- Kalima ya Tatu -

[Ni Lini Nusra ya Mwenyezi Mungu!]

Na Ustadh Abdul Rahman Zyoud (Abu Musab)

- Kipindi cha Maswali na Majibu -

Na Mwanafikra wa Kisiasa Ahmad Al-Khatawani (Abu Hamza)

- Kipindi cha Maingiliano na Dua ya Kumalizia -

Na Mwanafikra wa Kisiasa Ahmad Al-Khatawani (Abu Hamza)

Kwa Fadhila za Sheikh Issam Ameirah (Abu Abdallah)

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu