Jumanne, 22 Jumada al-thani 1446 | 2024/12/24
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

Hizb ut Tahrir / Uswidi:

Ujumbe Mbele ya Ubalozi wa Uturuki nchini Uswidi!

Mbele ya ushujaa mujahidina wameudhihirisha katika Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina) chini ya kauli mbiu (Kimbunga cha Al-Aqsa) dhidi ya  umbile nyakuzi la Kiyahudi, ambalo linaendelea kuushambulia Msikiti uliobarikiwa wa Al-Aqsa, na uzingiraji wake wa kuendelea na kudumu wa miaka 17 kwenye Ukanda wa Gaza, na mbele ya mauaji ya kikatili yaliyofanywa na umbile hili la kihalifu katika wiki mbili zilizopita dhidi ya Waislamu waliotengwa katika Ukanda wa Gaza, ambayo yalisababisha vifo na majeraha kwa Waislamu zaidi ya 20 elfu, ujumbe kutoka Hizb ut Tahrir / Uswidi, iliyoongozwa na Ustadh Youssef Ahmed, uliwasilisha kwa Ubalozi wa Uturuki jijini Stockholm, ujumbe uliokuwa ukiitaka serikali ya Uturuki kutaharakisha majeshi yake ili kuwanusuru Waislamu katika Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina) na ili kukomboa Msikiti uliobarikiwa wa Al-Aqsa na Palestina yote inayokaliwa kimabavu kuanzia mto wake hadi bahari yake kutokana na makucha ya Mayahudi wauaji wanyakuzi.

Jumamosi, 06 Rabi' Al-Akhir 1445 H sawia na 21 Oktoba 2023 M

#طوفان_الأقصى

#الجيوش_إلى_الأقصى

#الأقصى_يستصرخ_الجيوش

#AksaTufanı

#OrdularAksaya

#ArmiesToAqsa

#AqsaCallsArmies

Kwa Maelezo Zaidi Zuru Mitandao ya Hizb ut Tahrir / Uswidi:

Tovuti Rasmi ya Hizb ut Tahrir / Sweden

Ukurasa wa Facebook wa Hizb ut Tahrir / sweden

Akaunti ya Instagram ya Hizb ut Tahrir / Sweden

Chaneli ya YouTube ya Hizb ut Tahrir / Sweden

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu