- |
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- ukubwa wa font punguza ukubwa wa font zidisha ukubwa wa font
بسم الله الرحمن الرحيم
Hizb ut Tahrir / Wilayah Uswidi:
Hatari za Kushiriki katika Uchaguzi wa Bunge!
Mkusanyiko wa video zinazowahutubia Waislamu nchini Uswidi, zinazojadili hatari za kushiriki katika uchaguzi ujao wa bunge la Uswidi na jinsi hii inaweza kusababisha kuoanishwa kwa Waislamu ndani ya jamii ya Uswidi.
Alhamisi, 21 Rabi' al-Awwal 1448 H, sawia na 3 Septemba 2026 M

- Waislamu Hawapaswi Kuruhusu Hofu itawale Matendo Yao! -
Imewasilishwa na: Ustadh Sayyid Jalbi

Kwa Maelezo Zaidi Tafadhali Zuru Mitandao ya Hizb ut Tahrir / Uswidi:
Tovuti Rasmi ya Hizb ut Tahrir / Uswidi
Akaunti ya Instagram ya Hizb ut Tahrir / Uswidi
Akaunti ya TikTok ya Hizb ut Tahrir / Uswidi




