Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria “Maandamano ya Atma dhidi ya Kauli za Khiyana za Serikali ya Uturuki!”
- Imepeperushwa katika Syria
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Hizb ut-Tahrir / Wilayah Syria iliandaa kisimamo katika mji wa mpakani wa Atma kupinga matamshi ya khiyana ya serikali ya Uturuki ya hivi majuzi kutaka kuwepo kwa mazungumzo kati ya wanamapinduzi na utawala wa kihalifu wa Bashar al-Assad



