Jumamosi, 21 Muharram 1446 | 2024/07/27
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

 Minbar ya Umma: Maandamano Katika Kambi za Al-Karameh "Tunakuitikia Ewe Mtume wa Mwenyezi Mungu"

Halaiki ya watu wa kijiji cha Deir Hassan viungani mwa Idlib ilijitokeza katika maandamano ya kumnusuru Mtume wa Mwenyezi Mungu (saw) chini ya anwani "Tunakuitikia Ewe Mtume wa Mwenyezi Mungu".

Jumatatu, 09 Rabi al-Awwal 1442 H sawia na 26 Oktoba 2020 M

Kalima ya Ustadh Ahmad abdul Wahhab

Mkuu wa Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir katika Wilayah Syria

Wakati wa maandamano hayo

Kumbuka: "Minbar ya Ummah" ni kituo maalumu kinachopeperusha rekodi zilizochaguliwa za Khilafah zilizoandaliwa na watoto wa Ummah wetu. Rekodi hizo hazikutolewa na Hizb ut Tahrir au vitengo vyake rasmi; bali ni rekodi kutoka kwa watoto wa Ummah wa Kiislamu; ambazo zinapeperushwa katika tovuti yetu ili kueneza kheri kwa ajili ya Uislamu na Waislamu.

Imebadilishwa mara ya mwisho mnamoJumanne, 10 Novemba 2020 15:41

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu