Jumatatu, 03 Dhu al-Qi'dah 1442 | 2021/06/14
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

Wilayah ya Syria: Amali za Nusra kwa Msikiti wa Al-Aqsa na Ardhi Iliyobarikiwa

Hizb ut-Tahrir / Wilayah Syria iliandaa msururu wa visimamo na maandamano kukemea unyanyasaji wa kinyama wa umbile la Kiyahudi dhidi ya wenye kuswali na kufanya itikaf katika Msikiti wa Al-Aqsa uliobarikiwa, ambao ulisababisha kujeruhiwa kwa Waislamu zaidi ya 600, wengi wao wakiwa vibaya, majeraha ya moja kwa moja kichwani.

Jumatatu, 28 Ramadhan Al-Mubarak 1442 H sawia na 10 Mei 2021 M

Kisimamo cha Mji wa Deir Hassan kwa Anwani "Nusra ya Al-Aqsa"

Jumatatu, 28 Ramadhan Al-Mubarak 1442 H sawia na 10 Mei 2021 M

Kalima ya Ustadh Amir Al-Salim katika Kisimamo "Nusra ya Al-Aqsa" katika Kijiji cha Sahara

Jumanne, 29 Ramadhan Al-Mubarak 1442 H sawia na 11 Mei 2021 M

Kisimamo katika Mji wa Armanaz kwa Anwani "Enyi Majeshi ya Waislamu, Al-Aqsa Inawalilia"

Jumanne, 29 Ramadhan Al-Mubarak 1442 H sawia na 11 Mei 2021 M

Kalima ya Ustadh Muhammad Al-Faqir katika Kisimamo cha Mji wa Armanaz

Kisimamo cha Mji wa Atareb kwa Anwani "Nusra ya Al-Aqsa"

Jumatano, 30 Ramadhan Al-Mubarak 1442 H sawia na 12 Mei 2021 M

Kalima ya Ndugu Muhammad Abu Isteef

Wakati wa Kisimamo Ambacho Kiliwalingania Majeshi Kuinusuru Palestina na Msikiti wa Al-Aqsa Uliobarikiwa

Katika Mji wa Kiljibrin viungani mwa Aleppo Kaskazini

Kisimamo katika Mji wa Idlib kwa Anwani "Enyi Majeshi ya Waislamu, Al-Aqsa Inawalilia"

Jumatatu, 05 Shawwal 1442 H sawia na 17 Mei 2021 M

Kalima ya Ustadh Ridhwan Khauli katika Kisimamo cha Mji wa Idlib

Kalima ya Ustadh Abdullah Abu Muhammad katika Kisimamo cha Mji wa Idlib

Kisimamo cha Kijiji cha Babika Viungani wa Aleppo cha Kuunusuru Msikiti wa Al-Aqsa Uliobarikiwa

Jumanne, 06 Shawwal 1442 H sawia na 18 Mei 2021 M

Kisimamo cha Mji wa Kufr Takharem kwa Anwani "Qibla cha Kwanza Kinawaiteni Enyi Majeshi ya Waislamu"

Jumatano, 07 Shawwal 1442 H sawia na 19 Mei 2021 M

Kisimamo cha Mkusanyiko wa Kambi za Al-Karamah kwa Anwani "Viongozi Wasaliti, Wahalifu na Vibaraka Kamwe Hawataikomboa Al-Aqsa"

Jumatano 07 Shawwal 1442 H sawia na 19 Mei 2021 M

Kisimamo cha Mji wa Deir Hassan kwa Anwani "Al-Aqsa Inaomba Nusra kwa Majeshi ya Waislamu"

Jumatano 07 Shawwal 1442 H sawia na 19 Mei 2021 M

Kisimamo cha Mji wa Suraan kwa Anwani "Al-Aqsa Inaomba Nusra kwa Majeshi ya Waislamu"

Alhamisi 08 Shawwal 1442 H sawia na 20 Mei 2021 M

Kisimamo cha Mji wa Aldana kwa Anwani "Al-Aqsa Inaomba Nusra kwa Majeshi ya Waislamu"

Alhamisi 08 Shawwal 1442 H sawia na 20 Mei 2021 M

Amali za Kupigia Debe za Hizb ut Tahrir katika Mji wa Idlib Ambazo Ziliyataka Nusra Majeshi ya Waislamu Kuukomboa Msikiti wa Al-Aqsa Uliobarikiwa

Ijumaa, 09 Shawwal 1442 H, sawia na 21 Mei 2021 M

- Angazo la Amali ya Mji wa Idlib ya Kuunusuru na Kuomba Nusra kwa Msikiti wa Al-Aqsa Uliobarikiwa -

Kalima ya Ustadh Ahmed Abdel-Wahab

Mkuu wa Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir katika Wilayah ya Syria

Wakati wa Amali ya Mji ya Idlib, ya Kuunusuru na Kuomba Nusra kwa Msikiti wa Al-Aqsa Uliobarikiwa

Kalima ya Sheikh Mahmoud Azizi (Abu Al-Fathi)

Wakati wa Amali ya Mji ya Idlib, ya Kuunusuru na Kuomba Nusra kwa Msikiti wa Al-Aqsa Uliobarikiwa

Mashairi Yaliyohutubiwa Majeshi Ili Kuhamasika

Wakati wa Amali ya Mji ya Idlib, ya Kuunusuru na Kuomba Nusra kwa Msikiti wa Al-Aqsa Uliobarikiwa

Ushiriki kutoka kwa Umati

Wakati wa Amali ya Mji ya Idlib, ya Kuunusuru na Kuomba Nusra kwa Msikiti wa Al-Aqsa Uliobarikiwa

Dua ya Kumalizia

Ya Amali ya Mji ya Idlib, ya Kuunusuru na Kuomba Nusra kwa Msikiti wa Al-Aqsa Uliobarikiwa

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu