Hizb ut Tahrir / Wilayah Tunisia: Matembezi ya Kuinusuru na Kuiombea Nusra Gaza
- Imepeperushwa katika Tunisia
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Hizb ut Tahrir / Wilayah ya Tunisia, iliandaa matembezi ili kuyataka majeshi ya Waislamu yataharaki kuwanusuru Waislamu wanyonge katika Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina) na kukomboa Msikiti uliobarikiwa wa Al-Aqsa na Palestina yote inayokaliwa kimabavu kuanzia mto wake hadi bahari yake kutokana na makucha ya Mayahudi wauwaji wahalifu.



