Hizb ut Tahrir / Wilayah Tunisia: Mkutano wa Waandishi Habari, "Mradi huu Unaweza Kuitoa Tunisia kutokana na Mfumo wa Majanga"
- Imepeperushwa katika Tunisia
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Tunisia ilifanya mkutano wa waandishi habari mnamo Alhamisi asubuhi, Julai 2, 2020 kwa anwani "Mradi huu Unaweza Kuitoa Tunisia kutokana na Mfumo wa Majanga." Mkutano huu wa waandishi habari ulifanywa katika makao yake makuu yaliyoko makutano ya Sakra-Ariana katika mji mkuu.