Alhamisi, 16 Rajab 1446 | 2025/01/16
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

 Hizb ut Tahrir / Wilayah Tunisia: Visimamo vya Kupinga Sera ya Kuiuza Tunisia kwa Mfuko wa Fedha wa Kimataifa wa Kikoloni!

Hizb ut Tahrir / Wilayah Tunisia iliandaa msururu wa visimamo vya kupinga sera ya kuiuza Tunisia kwa mfuko wa fedha wa kimataifa wa kikoloni! Na ikawasilisha mfumo badali wa kiuchumi wa Kiislamu ulio tayari kutabikishwa. Visimamo hivyo vilikuwa katika miji kadhaa kama vile mji mkuu Tunis, Sfax, Keblat, Hammamet, Kelibia, Sidi Bouzid, Kayrawan, Bizerte na Gabes.

- Sehemu ya Kwanza -

Ijumaa, 17 Rabi’ ul-Akhir 1444 H – 11 Novemba 2022 M

- Sehemu ya Pili -

Ijumaa, 24 Rabi’ ul-Akhir 1444 H – 18 Novemba 2022 M

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu